Nyumba ya Sanaa

Mfahamu msanii maarufu Churchill toka nchini Kenya

Sauti 19:53
nation.co.ke

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo tutakuwa na msanii maarufu wa sanaa ya maigizo na vichekesho Daniel Ndambuki maarufu kwa jina la Churchill toka nchini Kenya. Fahamu asili ya jina lake la kisanii na mambo kadha wa kadha yahusuyo kazi yake. Ungana na Mtayarishaji na Msimulizi wa makala haya Edmond Lwangi Tcheli, karibu.