Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako na Dhana ya Weusi

Imechapishwa:

Nakukaribisha katika makala ya Changu Chako, Chako Changu ambapo hii leo bado tunaangazia dhana ya weusi tukijiegemeza katika umuhimu wa Waafrika kujitambua na kujithamini wao wenyewe. Jiunge naye Karume Asangama upate kufahamu mambo mengi zaidi katika asili ya watu weusi.

Radio France International Idhaa ya Kiswahili
Radio France International Idhaa ya Kiswahili RFI
Vipindi vingine