Nyumba ya Sanaa

Tamasha la Sauti za Busara mwaka 2013

Sauti 19:21

Nakukaribisha katika makala hii ya Nyumba ya Sanaa ambapo juma hili tunakuletea mambo muhimu yanayojiri katika Tamasha la kumi la Sauti za Busara ambalo hufanyika kila mwaka katika visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, ungana naye Ebby Shaban Abdallah kujua mengi zaidi yanayoendelea katika tamasha hilo lililosheheni wasanii kutoka sehemu mbalimbali.