Changu Chako, Chako Changu

Dhana ya Weusi na Afrika

Sauti 19:45

Karibu katika makala hii ya Changu Chako Chako Changu ambapo bado tunaangazia mambo muhimu katika historia ya ya Dhana ya Weusi katika bara la Afrika. KUfahamu mengi zaidi ungana naye Karume Asangama katika mwendelezo wa mada hii.