Jukwaa la Michezo

Matukio ya kimichezo yaliyojitokeza juma hili

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Jukwaa la Michezo na juma hili tunaangazia matukio yaliyojitokeza katika anga za kimichezo ikiwa ni pamoja na kukamatwa kwa mwanariadha maarufu wa nchini Afrika Kusini Oscar Pistorious ambaye anatuhumiwa kumuua mpenzi wake, tutaangazia pia hatua ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC kuomba ridhaa ya kuandaa michuano ya AFCON kwa mwaka 2019. Kwa hayo na mengineyo jiunge naye Victor Abuso.

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM
Vipindi vingine