Jua Haki Zako

Italia imeendelea kunyoshewa kidole cha lawama kwa kuwa kinara wa kufanya ukatili wa kijinsia

Sauti 08:13

Italia ni moja ya Mataifa yaliyoendelea sana Duniani lakini limeendelea kuwa nchi inayoorodheshwa kwenye Kundi la nchi inayokabiliwa na kashfa ya ukatili wa kijinsia. Wanaharakati wamekuwa mstari wa mbele kuangalia kile ambacho kinaendelea katika nchi ya Italia kwa sasa na nini cha kufanya!!