Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Uchimbaji wa madini umekuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira Barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 09:46
Madini imekuwa ni sekta muhimu zaidi katika kukuza pato la mataifa mbalimbali barani Afrika lakini licha ya umuhimu wake imekuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira. uchimbaji wa madini umeshika kasi sana Barani Afrika na hivyo mazingira yamekuwa hatarini zaidi ukilinganisha na ilivyokuwa awali!!