Habari RFI-Ki
Wizi wa fedha ambao unafanyika kwenye mabenki kwa kutumia kadi bandia za wateja
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Wananchi wa Afrika Mashariki wameanza kukabiliwa na tatizo la usalama wa fedha zao ambao wanahifadhi kwenye mabenki kutokana na kuibuka wizi wa fedha kwenye mashine za kutolea fedha!! Wezi hao wamekuwa wakitumia kadi bandia za kutolea fedha ili kuendesha wizi wa fedha za watija kwenye mabenki.