Siha Njema

Matumizi ya Dawa za Kulevya imekuwa chanzo cha ongezeko la magonjwa ya akili, ukimwi na hata vifo

Sauti 09:09
Dawa za Kulevya aina ya Heroine ambazo zimekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania
Dawa za Kulevya aina ya Heroine ambazo zimekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania

Matumizi ya Dawa za Kulevya yameendelea kuwa chanzo cha kutokea kwa magonjwa ya akili, ongezeko la waathirika wa ukimwi na hata vifo. Watumiaji wa Dawa za Kulevya wamekuwa wakikabiliwa na changamoto hizo na sasa juhudi zimeendelea kufanywa ili kuhakikisha vijana wanaokolewa na madhara ya matumizi ya dawa za kulevya!!