Afrika Ya Mashariki
Viongozi kutoka Rwanda, Burundi na DRC wakutana kuangalia njia za kumaliza matatizo bila ya kutumia silaha
Imechapishwa:
Cheza - 09:24
Juhudi za kiraia kushirikiana na wasomi na wanasiasa wa mataifa ya Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye kongamano la kujadili kwa pamoja namna ya kuleta amani kwenye ukanda wa maziwa makuu pasipo njia ya mtutu.