Mjadala wa Wiki

Kura za maoni kueleka Uchaguzi Mkuu nchini Kenya na hatima ya siasa za Taifa hilo

Sauti 10:52
Wagombea wa Urais nchini Kenya wakishiriki kwenye mdahalo kuelekea uchaguzi baadaye mwezi Machi
Wagombea wa Urais nchini Kenya wakishiriki kwenye mdahalo kuelekea uchaguzi baadaye mwezi Machi Reuters

Wananchi wa Kenya wameendelea kufuatilia kwa karibu kura za maoni ambazo zimekuwa zikifanywa na Taasisi mbalimbali za Tafiti kueleka uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi watatu!! Wakenya wengi wamekuwa wakiamini iwapo kura hizo zinaweza zikaleta mabadiliko ya aina yoyote kwenye upigaji wa kura utakaofanyika tarehe 4 mwezi Machi!!