Habari RFI-Ki

Suluhu ya mgogoro wa DRC inaweza ikapatikana iwapo Rais Joseph Kabila na Etienne Tshisekedi watazungumza

Sauti 09:41
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wanaokimbia mapigano yanayoendelea Mashariki mwa Taifa hilo
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wanaokimbia mapigano yanayoendelea Mashariki mwa Taifa hilo

Wito umetolewa kwa Viongozi wawili mahasimu kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambao ni Rais Joseph Kabila wa Kabange na Kiongozi wa Upinzani Etienne Tshisekedi wa Mulumba kukutana kwa mazungumzo ili kusaka suluhu ya mgogoro unaogharimu maisha ya watu Mashariki mwa DRC. wito huo umetolewa kipindi hiki ambacho mjadala wa kitaifa unatarajiwa kuitishwa ili kuangalia matatizo yanayochangia umwagaji wa damu!!