Habari RFI-Ki

Mataifa kadhaa yameanza kuonesha utayari wake wa kusaidia kupata suluhu ya mgogoro unaoendelea Mashariki mwa DRC

Sauti 10:04
Wananchi wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakienda kuzika ndugu yao aliyeuawa kwenye mapigano
Wananchi wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakienda kuzika ndugu yao aliyeuawa kwenye mapigano

Mazungumzo ya kusaka suluhu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kati ya Kundi la Waasi la M23 na Ujumbe wa Serikali lakini kusuasua kwake kumeanza kuyasukuma mataifa mengine kuingilia kati kusaidia juhudi za kumaliza vita hivyo. Mataifa ya Magharibi nayo yameanza kuonesha utayari wake wa kusaidia mkakati wa kumaliza vita Mashariki mwa DRC na kurejea hali ya usalama!!