Muziki Ijumaa

Tamasha la Sauti za Busara limefanyika kwa mara ya kumi na Msanii Chipukizi Man Martin kutoka Rwanda ameshiriki

Sauti 10:01
Msanii Chipukizi kutoka nchini Rwanda Mani Martin miongoni mwa walioshiriki Tamasha la Sauti za Busara
Msanii Chipukizi kutoka nchini Rwanda Mani Martin miongoni mwa walioshiriki Tamasha la Sauti za Busara

Sauti za Busara ni moja ya Tamashala Muziki linaloandaliwa Visiwani Zanzibar na safari hii ni miaka kumi tangu kuanza kwake na kuwakutanisha wasanii mbalimbali Mahiri wakiwemo kutoka ndani na nje ya Tanzania. Man Martini ni mmoja ya wasaani chipukizi kutoka nchini Rwanda ambaye amepata fursa ya kushiriki tamasha la kumi ambapo Makala ya Muziki Ijumaa juma hili inamuangazia msaani huu