Jua Haki Zako

haki

Sauti 07:37
Wanawake wengi wanaobakwa wamekuwa wakishindwa kujitokeza na kudai haki zao
Wanawake wengi wanaobakwa wamekuwa wakishindwa kujitokeza na kudai haki zao

Fuatilia sehemu ya pili ya mada yetu, ukatili wa kijinsia, vyanzo vya unyama unaofanyika kwa Wanawake, sababu maalumu na suluhu kwa matatizo haya ya ukatili wa kijinsia.