Makala ya Habari Rafiki hii leo yanazungumzia juu ya Mazungumzo ya kuleta amani yaliyofanyika Mjini Adis Ababa nchini Ethiopia lakini kubwa ni juu ya utiaji saini wa Makubaliano ya kumaliza machafuko Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Mataifa wanachama wa jumuia ya kanda la Maziwa makuu yalitia saini Makubaliano hayo.
Vipindi vingine
-
30/05/2023 09:29
-
Habari RFI-Ki Shambulio la Al Shabaab katika kambi ya kijeshi inayokaliwa na wanajeshi wa Uganda, nchini Somalia.29/05/2023 09:38
-
Habari RFI-Ki maoni yako kuhusu taarifa zetu juma hili Kila siku ya Ijumaa rfi Kishwahili inakupa nafasi ya kuchangia mada yoyote ile unayoipenda katika makala Habari Rafiki.19/05/2023 09:59
-
13/05/2023 09:30
-
12/05/2023 09:30