Habari RFI-Ki

Uchaguzi

Sauti 09:56
Wagombea Urais nchini Kenya wakiwa katika Mdahalo wa pamoja
Wagombea Urais nchini Kenya wakiwa katika Mdahalo wa pamoja Reuters/Stringer

Makala ya Habari Rafiki inaangazia Uchaguzi nchini Kenya, Raia wa kenya wamezungumza na kipindi hiki ili kuweza kutoa maoni yao juu ya mategemeo yao kuelekea uchaguzi Mkuu nchini humo.