Muziki Ijumaa

Msanii na Producer wa Muziki nchini Burundi Maisha Mustapha

Sauti 10:00
Msanii wa Burundi Maisha Mustapha
Msanii wa Burundi Maisha Mustapha

Makala ya Muziki Ijumaa inamuangazia Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Maisha Mustafa, ambaye anapiga Muziki aina ya Afro Fusion.kwa mengine mengi zaidi ungana na Lizzy Masinga