Changu Chako, Chako Changu

Fasihi ya Kiafrika kwa lugha ya Kifaransa

Sauti 18:47

Makala ya Changu Chako Chako Changu hii leo inajikita katika maswala mbalimbali yahusuyo Fasihi ya Kiafrika kwa lugha ya kifaransa, karibu sana na ungana na Karume Asangama akiwa pamoja na Illiminata Rwelamira ili upate kufahamu mambo mazuri zaidi yahusuyo uwepo wa lugha ya kifaransa.