Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mfumo wa maji taka

Imechapishwa:

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho juma hili inaangazia jinsi mifumo ya mibovu ya utiririshaji wa maji taka inavyoathiri afya za binadamu, ungana na Ebby Shaban Abdallah upate kufahamu mengi zaidi juu ya athari za kiafya zitokanazo na maji taka katika jamii.

envaya.org
Vipindi vingine