Habari RFI-Ki

Uchaguzi mkuu Kenya 2013

Sauti 10:08

Karibu katika makala ya Habari Rafiki ambapo tunaangazia uchaguzi mkuu wa nchi ya Kenya kwa mwaka huu wa 2013, Raia wa Taifa hilo wamepiga kura kuwachagua viongozi wao katika ngazi mbalimbali za uongozi na utapata kusikia maoni ya Wakenya waishio nje ya nchi ambao baadhi yao wamefanikiwa kupata haki yao ya kikatiba kwa kupiga kura katika nchi walizopo. Ungana na Flora Mwano ili upate kufahamu mengi zaidi juu ya uchaguzi huo.