Jua Haki Zako

Ukatili wa Kijinsia

Sauti 09:02
adeladallykavishe.blogspot.com

Karibu katika sehemu ya tatu na ya mwisho ya makala hii inayozungumzia maswala ya ukatili wa jinsia yanayowakumba wanawake katika nchi mbalimbali hususani barani Afrika, Karume Asangama atakujuza mengi zaidi katika makala hii, karibu.