Siha Njema

Maambukizi ya Ukimwi katika maeneo ya kazi

Sauti 10:07

Makala ya Siha Njema juma hili inaangazia swala la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi katika maeneo ya kazi hasa ukizingati kwamba ripoti mbalimbali zinautaja ugonjwa huu kama mojawapo ya mambo yanayozorotesha nguvu kazi katika jamii, Ebby Shaban Abdallah atakujuza mengi zaidi katika makala haya, karibu.