Afrika Ya Mashariki

Uchaguzi wa Kenya

Sauti 09:10
REUTERS/Marko Djurica

Raia wa Kenya wamepiga kura ili kuwachagua viongozi wao mbalimbali katika Taifa lao, hii leo Makala ya Afrika Mashariki inatazama maoni mbalimbali juu ya uchaguzi huo uliomalizika hapo jana na sasa ni matokeo ya mwisho ndiyo yanayosubiriwa ili kujua nani kaibuka kinara katika nafasi mbalimbali zilizogombaniwa. Julian Rubavu atakujuza mengi zaidi katika makala haya, karibu.