Gurudumu la Uchumi

Matarajio ya Wakenya baada ya uchaguzi wa mwaka 2013

Imechapishwa:

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili tunaangazia hali ya mambo nchini Kenya baada ya raia wa Taifa hilo kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, watarajie nini katika sekta ya uchumi kwa uongozi mpya utakaoingia madarakani hivi sasa juu ya changamoto zinazolikabili Taifa hilo. Ungana na Emmanuel Makundi upate kujua mengi zaidi, karibu.

REUTERS/Marko Djurica
Vipindi vingine