Mjadala wa Wiki

Uchaguzi wa Kenya

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki hii unazungumzia maswala mbalimbali yalioyojiri katika zoezi la uchaguzi mkuu wa Kenya ambapo tayari raia wake wamepiga kura na hivi sasa wanasubiri matokeo ya mwisho toka kwa tume huru ya uchaguzi nchini humo, karibu sana msikilizaji na katika kujadili mambo haya utakuwa mtangazaji wako Lizzy Anneth Masinga akizungumza na wachambuzi wa maswala ya siasa toka nchini Kenya na Tanzania.

REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine