Mjadala wa Wiki

Hatimaye wananchi wa Kenya wapiga kura

Imechapishwa:

Katika mjadala wa juma hili tanajielekeza huko nchini Kenya ambako wananchi wa Taifa hilo wamepiga kura na kuwachagua viongozi katika ngazi mbalimbali, bila shaka wana shauku kubwa ya kujua nani ataibuka mshindi katika ngazo zote walizopigia kura. Mtangazaji wako Lizzy Anneth Masinga atakuwa nawe katika makala haya akizungumza na wachambuzi wa maswala ya siasa toka nchini Kenya na Tanzania, karibu.

REUTERS/Marko Djurica
Vipindi vingine