Habari RFI-Ki

Dhima ya Waandishi wa Habari katika jamii

Sauti 09:03

Katika makala ya Habari Rafiki hii leo tunatazama dhima ya waandishi wa habari pamoja na mazingira yao wanayofanyika kazi na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, karibu sana na Martha Saranga Amin atakujuza mengi zaidi.