Wimbi la Siasa

Hali ya kisiasa Kenya baada ya raia wake kupiga kura

Sauti 09:54

Makala ya Wimbi la Siasa juma hili inaangazia hali ya mambo nchini Kenya baada ya raia wa Taifa hilo kupiga kura jumatatu hii, kupata mengi zaidi ungana na Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala hii Victor Robert Wile.