Muziki Ijumaa

Mfahamu mwanamuziki Joshua Ledet

Sauti 10:02
popcrush.com

Karibu katika makala ya Muziki Ijumaa na hii leo tunaangazia safari ya kimuziki ya Joshua Ledet msanii aliyejipatia umaarufu mwaka jana alipokuwa akishiriki mashindano ya muziki ya American Idol, ungana na Lizzy Massinga amekuandalia mengi zaidi.