Nyumba ya Sanaa

Muziki wa Injili na Rebecca Mugaba

Sauti 19:12

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo tutakuwa na mwanamuziki wa Injili Rebecca Magaba kutoka nchini Tanzania, kujua mengi zaidi juu ya mwanamuziki huyu ungana na Mtayarishaji na Mtangazaji wa kipindi hiki Edomn Lwangi Tcheli.