Changu Chako, Chako Changu

Fasihi ya Kiafrika kwa lugha ya Kifaransa

Sauti 19:41

Karibu katika makala ya Changu Chako, Chako Changu na hii leo tutazungumzia maswal aya Fasihi ya Kiafrika kwa lugha ya Kifaransa, kwa mengi zaidi jiunge na Karume Asangama na Illiminata Rwelamira mwanzo mpaka mwisho wa makala hii.