Jukwaa la Michezo

Michuano ya wachezaji wasiozidi miaka 20 barani Afrika

Imechapishwa:

Katika Jukwaa la Michezo juma hili tunaangazia mashindano ya wachezaji wenye umri usiozidi miaka ishirini barani Afrika ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 16 mpaka 20 mwezi huu wa machi, timu zitakazoshuka dimbani ni kutoka mataifa 8 yaliyofuzu kuingia katika hatua hiyo. Mwanamichezo wako Victor Abuso atakujuza mengi zaidi, karibu.

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM
Vipindi vingine