Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uchaguzi Mkuu nchini Kenya

Sauti 19:52
路透社

Miongoni mwa mambo utakayopata katika Yaliyojiri Wiki Hii ni pamoja na kumalizika kwa uchaguzi Mkuu nchini Kenya na hatimaye Uhuru Muigai Kenyatta ametangazwa rasmi na Tume Huru ya Uchaguzi na Ukaguzi wa Mipaka IEBC kuwa mshindi wa Urais, karibu katika makala haya ukiwa na Ruben Kakule Lukumbuka na utapata kusikia habari nyingine pia zilizogonga vichwa vya habari duniani kwa juma hili.