Habari RFI-Ki

CORD kutinga mahakamani

Sauti 10:01

Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia suala la muungano wa kisiasa wa CORD wa nchini Kenya kuchukua uamuzi wa kwenda mahakamani kupinga matokeo ya Urais wa nchi hiyo yaliyompa ushindi Uhuru Muigai Kenyatta wa muungano wa Jubilee dhidi ya Raila Odinga wa muungano wa CORD, karibu sana na Ebby Shaban atakuwa nawe katika kipindi hiki.