Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uchafuzi wa ardhi

Sauti 09:18

Karibu katika makala ya "Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho" juma hili tunaangazia swala la uchafuzi wa ardhi na athari zake katika utunzaji wa mazingira, kwa mengi zaidi ungana na Ebby Shabani Abdallah katika makala haya.