Habari RFI-Ki

Athari za mvua katika jiji la Dar es salaam

Sauti 09:17
maishatimes.blogspot.com

Karibu katika Habari Rafiki hii leo tunakita kambi katika jiji la Dar es salaam nchini Tanzania kuangazia adha zinazowakumba wakazi wa jiji hilo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa, Ebby Shaban Abdallah anazuzungumza na wakazi hao ambao wana mengi ya kueleza kuhusiana na hali hii.