Afrika Ya Mashariki

Hali ya uchaguzi wa Kenya

Sauti 09:29
REUTERS/Marko Djurica

Tayari wananchi wa Kenya wamechagua viongozi wa Taifa hilo katika ngazi mbalimbali na makala ya Afrika ya Mashariki juma hili tunaangazia hali ya mambo ilivyo nchini humo baada ya zoezi hilo kukamilika kwa amani na utulivu. Pia tutaangazia hatua ya muungano wa kisiasa wa CORD kutinga mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi Uhuru Muigai Kenyatta kama Rais wa nchi hiyo, karibu sana msikilizaji na Julian Rubavu atakujuza mengi zaidi katika kipindi hiki.