Gurudumu la Uchumi

Matarajio ya Wananchi wa Kenya baada ya kupiga kura

Sauti 09:34
REUTERS/Marko Djurica

Tayari wananchi wa Kenya wamepiga kura na kuchagua viongozi wao ambao wametangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo, bila shaka wana matarajio mbalimbali juu ya uongozi mpya ambao umeingia madarakani hivi sasa. Katika makala ya juma hili utakuwa naye Emmanuel Makundi na ataangazia kwa kina matarajio ya raia hao, karibu.