Habari RFI-Ki

Mfumo wa matangazo ya televisheni kwa njia ya dijitali

Sauti 09:33
Dekoda za Televisheni ambazo zinatumika kwenye usafirishaji wa matangazo ya mfumo wa dijital
Dekoda za Televisheni ambazo zinatumika kwenye usafirishaji wa matangazo ya mfumo wa dijital RFI

Katika Habari Rafiki hii leo tunaangazia mfumo wa matangazo ya televisheni kwa njia ya digitali ambao baadhi ya watumiaji bado hawajauelewa vizuri, ungana na Ebby Shaban Abdallah kujua mengi zaidi juu ya faida na changamoto zinazowakabili watumiaji wa mfumo huu nchini Tanzania hususani baada ya matangazo ya analojia kuzimwa rasmi mwishoni mwa mwaka jana.