Mjadala wa Wiki

Uchaguzi wa Kenya

Imechapishwa:

Mjadala wa juma hili unatazama mambo kadhaa yaliyojiri nchini Kenya kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni na kushuhudia Uhuru Muigai Kenyatta akitangazwa kama Rais mteule wa taifa hilo, tutakuwa na Mchambuzi wa mswala siasa kutoka nchini Kenya Brian Wanyama akiwa na mtangazaji wa rfi kiswahili Emmanuel Richard Makundi. Karibu sana msikilizaji ujumuka pamoja nasi.

路透社
Vipindi vingine