Wimbi la Siasa

Makubaliano ya Sudan na Sudan Kusini kuanza uzalishaji wa mafuta

Sauti 10:59
REUTERS

Makala ya Wimbi la Siasa juma hili inaangazia mataifa mawili ya Sudan na Sudan Kusini ambayo yameafikiana kuanza tena uzalishaji na usafirishaji wa mafuta, Karibu ujumuike na Emmanuel Makundi akiwa na wachambuzi wa maswala ya siasa Brian Wanyama kutoka nchini Kenya na Robert Mkosamali kutoka nchini Tanzania.