Habari RFI-Ki

Wafanyabiashara wadogo wadogo

Karibu katika makala ya Habari Rafiki na hii leo tunaangazia mkutano wa kimataifa unaofanyika jijini Dar es salaam nchini Tanzania ambao unalenga kuangazia maswala ya ubunifu kwa wafanyabiashara na hati miliki, ungana na Ebby Shaban Abdallah ambaye anazungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo au wajasiriamali walioshiriki katika maonyesho yaliyoambatana na mkutano huo.