Habari RFI-Ki

Wafanyabiashara wadogo wadogo

Karibu katika makala ya Habari Rafiki na utakuwa naye Ebby Shaban Abdallah akizungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo katika maonyesho yanayoendelea katika mkutano wa kimataifa unaofanyika jijini Dar es salaam.