Habari RFI-Ki

Ripoti ya Shirika la Maendeleo Duniani UNDP

Habari Rafiki hii leo inaangazia ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni na Shirila la Maendeleo Duniani UNDP ambayo imebaini kuwa nchi za kusini zimepiga hatua kubwa katika swala la maendeleo, ungana na mtangazaji wako Ebby Shaban Abdallah upate kufahamu mengi zaidi yaliyomo katika ripoti hayo.