Habari RFI-Ki

RIPOTI YA UNDP

Sauti 09:52

Karibu katika Habari Rafiki na hii leo tunaangalia ripoti iliyotolewa na Shirika la Maendeleo Duniani UNDP ambayo imeonyesha kuwa nchi za kusini mwa dunia zimepiga hatua kubwa katika maswala mbalimbali ya maendeleo, kujua mengi zaidi ungana na mtangazaji wako hii Ebby Shaban Abdallah.