Changu Chako, Chako Changu

Siku ya mataifa ya jumuiya ya nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa

Sauti 19:53

Karibu katika makala ya Changu Chako, Chako Changu ambayo juma hili inaangazia siku ya kimataifa ya jumuiya ya nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 20 mwezi wa tatu, Karume Asangama na Illiminata Rwelamira watakujuza mengi zaidi katika makala hii.