Nyumba ya Sanaa

Kituo cha kuendeleza vipaji vya sanaa cha "Mkubwa na Wanawe" cha jijini Dar es salaam

Sauti 20:04
micharazomitupu.blogspot.com

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa ambapo hii leo mtangazaji wa makala haya Edmond Lwangi Tcheli anazungumza na wageni toka taasisi ya kijamii ya "Mkubwa na Wanawe Youth Organisation" ya jijini Dar es salaam nchini Tanzania ambayo inajishughulisha na maswala ya kuendeleza vipaji vya sanaa kwa vijana.