Habari RFI-Ki

i Pad

Sauti 09:57

Makala ya Habari Rafiki hii leo yanazungumzia juu ya hatua ya Serikali ya Uganda kutenga kitita cha Fedha kwa ajili ya kununulia Wabunge wake Kompyuta ya Kisasa aina ya i pad, huku wengine wakikosoa kuwa hakukuwa na ulazima wakati huu ambapo kuna Changamoto nyingine zinazowakabili.Ungana na Ruben Lukumbuka kuangazia hilo.