Wimbi la Siasa

Uchaguzi

Sauti 09:56
Wagombea Urais nchini Kenya watachuana siku ya jumatatu
Wagombea Urais nchini Kenya watachuana siku ya jumatatu

Makala ya Wimbi la Siasa inaagazia harakati za Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya Tarehe 4 mwezi Machi.Jiunge nae, Victor Robert Wille kuangazia hilo.